1. Home /
  2. Tutor/teacher /
  3. Urafiki,Mahusiano,Uchumba na Ndoa (LOVE)


Category

General Information

Locality: Ottawa, Ontario

Address: 143 Ottawa, ON, Canada

Likes: 20452

Reviews

Add review



Facebook Blog

Urafiki,Mahusiano,Uchumba na Ndoa (LOVE) 13.11.2020

Follow @luesatraveltours Facebook: Luesa Travel and Tours

Urafiki,Mahusiano,Uchumba na Ndoa (LOVE) 06.11.2020

KWA MAHITAJI YA NGUO ZA WATOTO MTUMBA GRADE 1 TEMBELEA UKURASA:- ... https://www.instagram.com/totomtumbagrade1/ TUPIGIE SIMU/WATSAPP : +255 62 114 2328

Urafiki,Mahusiano,Uchumba na Ndoa (LOVE) 01.11.2020

Nyakati 4 MUHIMU mwanamke anastahili kuosha sehemu nyeti - Tangu utotoni, watoto wasichana hufunzwa jinsi ya kujiweka safi na nadhifu wakati wote. - Usafi huu pia unahusu sehemu nyeti; hakuna mwanamume atakubali kuwa karibu na mwanamke anayetoa uvundo... - Uuke wa mwanamke ni moja ya maeneo muhimu sana yanayohitaji kutunzwa kwa kiwango cha hali ya juu Hizi hapa nyakati muhimu ambazo mwanamke anastahili kuwa mwangalifu zaidi na kuosha sehemu nyeti; 1. Kabla na baada ya kushiriki mapenzi Unashauriwa kuosha kisima chako kabla na baada ya kushiriki mapenzi ili kiwe kisafi. Wataalamu wanasema mume na mke wote kwa pamoja wanastahili kuoga kabla na baada ya kushiriki ngono ili kuzuia maambukizi ya bacteria, kuvu na virusi. Habari Nyingine: Wanaume: Huyu ndiye mwanamke unayefaa kumuoa Kabla kuanza kushiriki mapenzi hakikisha umeweka karibu taulo kadha safi. Mwanamke hufaa kujipangusa mara tu jamaa akiondoa mtutu wake ili kuondoa mabaki ya manii, chembechembe za manii na umajimaji mwingine ambao hupatikana wakati huu. Kisima hupata mikwaruzo midogo midogo wakati wa ngono na hivyo kutumia sabuni na vitu vingine vilivyo na kemikali hudhuru sehemu hii nyeti. 2. Wakati wa hedhi Ni haraka sana mwanamke kutoa uvundo wakati wa hedhi iwapo hatadumisha usafi wa kisima chake. Huhitaji kufanya mambo mengi kando na kuoga mara kwa mara, kuoga mara mbili kwa siku kunatosha kukuweka msafi. Habari Nyingine: Aibu iliyoje! Malaika njiani, 'barikoa' nyumbani (picha) Osha tupu yako kwa maji safi peke yake; usitumie sabuni pengine tu kwenye kinena kuondoa uchafu wa damu. Vaa sodo yako lakini hakikisha unaibadilisha mara kwa mara; haifai kulowa kupita kiasi kwani uvundo wa damu utaanza kujitokeza na vile vile kuna hatari ya kujiletea maambukizi. Iwapo huna tatizo lolote kushiriki ngono wakati huu, hakikisha unatandika taulo kadha kitandani usichafue shuka na unajiosha mara tu baada ya shughuli. 3. Baada ya kukojoa Hapa si lazima kutumia maji lakini yakiwepo ni bora zaidi. Hakikisha kipochi chako kiko na tishu wakati wote. Kila unapoenda msalani, iwe kwa haja ndogo ama kubwa, pangusa tupu yako. Habari Nyingine: Mbinu 7 za kutunza "kisima" cha mke; nambari 6 itakushangaza! Pangusa kutoka mbele ukienda nyuma ili usieneze bakteria kwenye tupu na hivyo kujiletea maambukizi. Kitendo hiki kitasaidia kukuweka mkavu na msafi siku nzima. 4. Kila siku kama ilivyo desturi Kuoga ni kila siku, vilevile kusafisha sehemu yako nyeti ni jambo la kila siku. Osha tupu kwa maji safi; safisha kinene vizuri kabisa baada ya kukiosha kwa sabuni. Siku zingine unashauriwa kutovaa chupi, keti chini na upanue miguu ili hewa safi iingie humo!

Urafiki,Mahusiano,Uchumba na Ndoa (LOVE) 20.10.2020

HIZI NDIZO SABABU ZA KUCHOKANA MAPEMA KWENYE NDOA / MAHUSIANO. a) Kuzoeana: ...Continue reading

Urafiki,Mahusiano,Uchumba na Ndoa (LOVE) 08.10.2020

Harufu nzuri huongeza mvuto katika mapenzi ni muhimu kuzingatia usafi. katika mahusiano suala la usafi lina nafasi kubwa sana ni vizuri kuzingatia usafi wa mwili wako wakati wote hakikisha unakabiliana na harufu za jasho la mwili nk, ni bora kuwaona wataalamu kwa msaada zaidi kama tatizo ni kubwa,kitu kingine ni kwamba kuna baadhi ya watu huwaficha wenza wao kuhusu hili la harufu mbaya, kwa mfano unakuta mwanamke anaharufu mbaya badala ya mwenza wake kutafuta njia ya kumsaidi...a kwa kumuelimisha basi anakaa kimya au inakuwa ndiyo sababu ya kuachana. Jambo la msingi ni kuwa muwazi kwani inawezekana mtu anayetoa harufu mbaya yeye akawa haisikii kama ni mbaya lakini watu wa pembeni yake ndiyo wanasikia harufu hiyo mbaya ,,na inapotokea mwenzio anakuelimisha kuhusu suala la usafi ni vizuri kumsikiliza na kutafuta njia mbadala kwaajili ya kuzuia harufu mbaya ya mwililini kuna vipodozi vya aina mbalimbali ambavyo vinaweza kumsaidia mtu ambaye yupo katika hali hiyo ila jambo la msingi ni kuzingatia usafi wa mwili likiwemo na suala la kuoga na kujisafisha vizuri kabisa na si kukurupuka